Saturday, January 5, 2013

PICHA ZA NGONO ZA MASTAA WA BONGO

Baadhi ya Mastaa wa Bongo wengi wamekuwa wakijaribu kujiingiza kwenye vishawishi vya kuelekea kutokea na taswira ya kingono ngono, mfano mzuri ukitazama magazeti ya utaona jinsi wanavyopiga picha nusu uchi huku wengine wakiacha chuchu zao nje kabisa, labda ni utandawazi na kuiga tamaduni za ulaya, lakini sitaki kuamini kwamba wanafanya hivyo kwa sababu fulani labda kujipatia umaarufu zaidi / kupata pesa / kupata wanaume n.k. Si jambo la ajabu kwa binti wa kizungu kupita njiani akiwa amevaa kaptula fupi inayoacha mapaja yake nje kwa sababu kwao ni kawaida na tamaduni zao zinaruhusu pia hata ule msisimko kwa baadhi ya watu sio mkubwa lakini akipitia binti wa Kiafrika lazima ataleta madhara kwa jamii kwanza sio tamaduni yetu, pili unawaweka watu kwenye hali tamanishi, unamuaibisha mwanamke wa kiafrika.
Ifike muda tuseme basi, dada zetu mjirekebishe.

No comments:

Post a Comment