Wednesday, January 9, 2013

CRITICS 147:JUDITH D.M WAMBURA A.K.A LADY JAY DEE (3) & DULLY SYKES (4)

Nawaletea muendelezo wa 147 Critics ambapo leo tutawasikiliza wadau na wanamuziki muhimu kwenye Tasnia ya Muziki
wa kizazi kipya Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee (3) na Dully Sykes (4)  ufahamu wao kuhusiana na marekebisho
ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147
yanayogusa Muziki na Filamu.
Tuwasikilize hawa katika wakati tofauti Critics 147:Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee (3) na 147 Critics:Dully Sykes

No comments:

Post a Comment