Tuesday, November 13, 2012

GADNER G HABASH NDANI YA MASKANI

Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee Gadner G Habash ambae alivuma sana wakati ule wa kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm na yeye akiwa kama Captain wa Jahazi hilo, alipumzika kutangaza kwa muda wa miaka kadhaa na hivi sasa amerudi katika fani yake ya utangazaji katika kituo kingine cha Times Fm ambapo kwa sasa anatangaza kipindi cha Maskani.

No comments:

Post a Comment